Tag: Shule za A-Level Dar es Salaam

Shule za Advance Mkoa wa Dar es Salaam (Form 5 & Form 6)

Filed in Makala by on June 9, 2026 0 Comments
Shule za Advance Mkoa wa Dar es Salaam (Form 5 & Form 6)

Mkoa wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa yenye shule nyingi za sekondari zinazotoa elimu ya juu ya sekondari (Advanced Level – Form Five na Form Six) nchini Tanzania. Wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Nne hupendelea kujiunga na shule hizi kutokana na ubora wa elimu, walimu wenye uzoefu, mazingira mazuri ya kujifunzia, pamoja na matokeo […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!