Zetuforum

rss feed Author's Website

Zetuforum's Latest Posts

Nafasi za kazi kutoka Bakhresa & Co. Ltd (SSB)

Filed in Ajira by on May 12, 2026 1 Comment
Nafasi za kazi kutoka Bakhresa & Co. Ltd (SSB)

Kampuni ya Bakhresa & Co. Ltd (SSB) ni moja ya makampuni makubwa na yenye ushawishi mkubwa katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Ilianzishwa na mfanyabiashara maarufu, Mzee Said Salim Bakhresa, na kwa sasa ina makao yake makuu jijini Dar es Salaam. SSB inajihusisha hasa na uzalishaji wa unga wa ngano, unga wa mahindi, na bidhaa mbalimbali […]

Continue Reading »

Tangazo La Mabadiliko Ya Eneo La Usaili Wa Vitendo Na Kuahirishwa Kwa Usaili

Filed in Usaili by on May 12, 2026 0 Comments
Tangazo La Mabadiliko Ya Eneo La Usaili Wa Vitendo Na Kuahirishwa Kwa Usaili

Wasailiwa wa kada zilizotajwa kwenye tangazo hili wanapaswa kuzingatia mabadiliko haya. TANGAZO LA MABADILIKO YA ENEO LA USAILI SIDO NA TASUBA 2026

Continue Reading »

MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 10/05/2026

Filed in Usaili by on May 11, 2026 0 Comments
MATOKEO Ya Usaili Wa Kuandika Uliofanyika Tarehe 10/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. TUTORIAL ASSISTANT (PROCUREMENT AND SUPPLY) TUTORIAL ASSISTANT (RECORDS AND ARCHIVE MANAGEMENT) TUTORIAL ASSISTANT (STATISTICS) TUTORIAL ASSISTANT (TOURISM) MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UFUNDI WA BOMBA (PLUMBING AND PIPE FITTING) […]

Continue Reading »

Nauli za Boti Dar Kwenda Zanzibar 2026

Filed in Makala by on May 10, 2026 0 Comments
Nauli za Boti Dar Kwenda Zanzibar 2026

Safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar imeendelea kuwa moja ya safari maarufu zaidi kwa Watanzania na wageni kutoka mataifa mbalimbali. Kutokana na ongezeko la watalii, wafanyabiashara na wasafiri wa kawaida, mahitaji ya taarifa sahihi kuhusu nauli za boti Dar kwenda Zanzibar 2026 yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Katika makala hii tumekusanya taarifa muhimu, za […]

Continue Reading »

Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026

Filed in Michezo by on May 10, 2026 0 Comments
Barcelona Mabingwa wa Laliga 2025/2026

Hatimae klabu ya Fc Barcelona wajitangaza kua mabingwa wa ligi kuu ya Laliga mbele ya mahasimu wao Real Madrid kwenye mchezo wa El Classico baada ya ushindi wa goli 2 kwa 0. Ushidi wa Barcelona dhidi ya Real Madrid unaifanya Bercelona kufikia pointi 91 dhidi ya Real Madrid ambao wapo kwenye nafasi ya pili mwa […]

Continue Reading »

Kozi Zitolewazo na Chuo cha Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI Courses Offered)

Filed in Elimu by on May 10, 2026 0 Comments
Kozi Zitolewazo na Chuo cha Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI Courses Offered)

Eastern and Southern African Management Institute maarufu kama ESAMI, ni taasisi ya kimataifa inayojihusisha na utoaji wa elimu ya juu, mafunzo ya kitaaluma, utafiti pamoja na ushauri wa kitaalamu katika nchi za Afrika Mashariki na Kusini. Chuo hiki kilianzishwa kwa lengo la kuimarisha uwezo wa viongozi, mameneja, wataalamu na wafanyakazi katika sekta mbalimbali kupitia mafunzo […]

Continue Reading »

Kozi Zitolewazo na Chuo cha Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC Courses Offered)

Filed in Elimu by on May 10, 2026 0 Comments
Kozi Zitolewazo na Chuo cha Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC Courses Offered)

Ikiwa unatafuta chuo bora nchini Tanzania kinachotoa elimu ya takwimu, teknolojia ya habari, uchambuzi wa data, pamoja na biashara, basi Eastern Africa Statistical Training Centre ni moja ya vyuo vinavyoongoza Afrika Mashariki. Chuo hiki maarufu kwa kifupi kama EASTC kimekuwa kikitoa wataalamu wenye uwezo mkubwa katika sekta za data science, takwimu, ICT na uchumi. Katika […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi ABL Construction Limited

Filed in Ajira by on May 10, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi ABL Construction Limited

LOGISTICS OFFICER – ABL CONSTRUCTION LIMITED We are a reputable and fast-growing construction company specializing in infrastructure development, building construction, and project management services. We are seeking a highly organized, proactive, and results-oriented individual to join our team as a Logistics Officer. Position Details Position: Logistics Officer Location: Dar es Salaam, Tanzania Employment Type: Full-Time […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi HESU Investment Limited

Filed in Ajira by on May 10, 2026 1 Comment
NAFASI za Kazi HESU Investment Limited

HESU Investment Limited Job Vacancies — Security Guard Jobs HESU INVESTMENT LTD, located at Benjamin Mkapa National Stadium, announces job vacancies for Walinzi with experience and work discipline to join our team. Applicant requirements Must be between 23 and 40 years old All genders are welcome Height: Men: 5.7 feet Women: 5.6 feet Must be […]

Continue Reading »

NAFASI za Kazi Onfon Microfinance

Filed in Ajira by on May 10, 2026 0 Comments
NAFASI za Kazi Onfon Microfinance

Human Resources Officer Onfon Microfinance – May 2026 Dar es Salaam Onfon Microfinance is seeking a proactive and detail-oriented Human Resources Officer (HR) to join its team. The ideal candidate will support daily HR operations, recruitment, employee relations, and ensure compliance with labor laws and company policies. This is a re-advertisement for the position of […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!