Zetuforum

rss feed Author's Website

Zetuforum's Latest Posts

Orodha ya Vitu Muhimu vya Kwenda Navyo JKT Mujibu Wa Sheria 2026

Filed in Makala by on May 28, 2026 4 Comments
Orodha ya Vitu Muhimu vya Kwenda Navyo JKT Mujibu Wa Sheria 2026

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa rasmi taarifa kuhusu vijana waliohitimu kidato cha sita mwaka 2026 wanaotakiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT Mujibu wa Sheria. Kwa wanafunzi wengi pamoja na wazazi wao, swali kubwa limekuwa: “Ni vitu gani vinatakiwa kwenda navyo JKT 2026?” Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, ametoa wito […]

Continue Reading »

VITUO vya Usaili wa Mahojiano wa Kada za MDAs & LGAs Utakaofanyika Tarehe 01 Juni 2026

Filed in Uncategorized by on May 28, 2026 0 Comments
VITUO vya Usaili wa Mahojiano wa Kada za MDAs & LGAs Utakaofanyika Tarehe 01 Juni 2026

Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia vituo walivyopangiwa. VITUO VYA USAILI WA MAHOJIANO WA MDAs & LGAs JUNI 1 2026

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026

Filed in Usaili by on May 28, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Halmashauri ya Mji kibaha anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 20/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo. MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha 28/05/2026 DOWNLOAD PDF […]

Continue Reading »

Orodha ya Kambi Zote za JKT Tanzania 2026 | Majina, Maeneo na Kazi Zake

Filed in Makala by on May 28, 2026 0 Comments
Orodha ya Kambi Zote za JKT Tanzania 2026 | Majina, Maeneo na Kazi Zake

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni taasisi muhimu nchini Tanzania inayolenga kuwajenga vijana katika uzalendo, nidhamu, uzalishaji mali pamoja na mafunzo ya kijeshi. Kila mwaka maelfu ya vijana hujiunga na JKT kupitia mfumo wa kujitolea au kwa mujibu wa sheria. Katika makala hii utapata orodha ya kambi zote za JKT Tanzania, maeneo zilipo, pamoja na […]

Continue Reading »

Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa JKT Form six 2026 PDF

Filed in Ajira by on May 28, 2026 1 Comment
Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa JKT Form six 2026 PDF

Uchaguzi wa Kidato cha Sita JKT 2026/2027 – Orodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Jeshi la Kitaifa la JKT 2026. Baada ya kuhitimu kidato cha sita wanafunzi wote waliohitimu ambapo walihitajika kuhudhuria JKT ili kupata mafunzo kuhusu uzalendo na pia kujenga nchi kwani wangefanya shughuli tofauti za kiuchumi kulingana na aina ya Kambi ili kujenga […]

Continue Reading »

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026

Filed in Usaili by on May 27, 2026 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI 26/05/2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Wakala Ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA), Wakala wa Majengo […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika 23-24/05/2026

Filed in Usaili by on May 25, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili wa Kuandika Uliofanyika 23-24/05/2026

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. ICT OFFICER II – APPLICATION DEVELOPER ICT OFFICER II – DATABASE ADMINISTRATOR ICT OFFICER II – SYSTEMS DEVELOPER ICT OFFICER II (SERVER ADMINISTRATOR) INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II – SYSTEMS ADMINISTRATOR […]

Continue Reading »

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026 PDF

Filed in Usaili by on May 25, 2026 0 Comments
Majina ya Walioitwa kwenye Usaili TAKUKURU (PCCB) 2026 PDF

TAKUKURU (PCCB) imetangaza rasmi majina ya walioitwa kwenye usaili wa ajira kwa mwaka 2026, ambapo waombaji waliochaguliwa wanatakiwa kufika kwenye vituo vya usaili wakiwa na nyaraka muhimu kwa ajili ya uhakiki na utambuzi. Wasailiwa wote wanashauriwa kufika kwa wakati kulingana na tarehe, muda na kituo walichopangiwa ili kushiriki hatua hiyo muhimu ya mchakato wa ajira. […]

Continue Reading »

MATOKEO ya Usaili Uliofanyika 24/05/2026 (UTUMISHI)

Filed in Usaili by on May 25, 2026 0 Comments
MATOKEO ya Usaili Uliofanyika 24/05/2026 (UTUMISHI)

Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. TUTORIAL ASSISTANT – CIVIL ENGINEERING TUTORIAL ASSISTANT – ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATIONS ENGINEERING TUTORIAL ASSISTANT – FOOD SCIENCE TUTORIAL ASSISTANT – INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY TUTORIAL ASSISTANT – PHYSICS TUTORIAL ASSISTANT – […]

Continue Reading »

Jinsi Ya Kukopa Salio Nipige Tafu Vodacom (Menu Ya Kukopa Salio Vodacom) 2026

Filed in Makala by on May 24, 2026 0 Comments
Jinsi Ya Kukopa Salio Nipige Tafu Vodacom (Menu Ya Kukopa Salio Vodacom) 2026

Katika nyakati nyingi unaweza kujikuta salio limeisha ghafla wakati unahitaji kupiga simu muhimu, kutuma ujumbe au kununua kifurushi cha intaneti. Kwa watumiaji wa Vodacom Tanzania, huduma ya Nipige Tafu Vodacom imekuwa suluhisho rahisi kwa wale wanaohitaji salio la dharura. Katika makala hii utajifunza jinsi ya kukopa salio Nipige Tafu Vodacom mwaka 2026, menu zinazotumika, masharti […]

Continue Reading »

WhatsApp Channel Join Now!