Simba Sc Bingwa Mpya Muungano CUP 2026

Simba Sc Bingwa Mpya Muungano CUP 2026
Baada ya mapambano ya dk 90 kukamilika bila goli kati ya Simba Sc vs Yanga Sc hatiamae kwenye dk 30 za nyiongeza zinamptia Simba penalt amabayo inapelekea kufunga goli kupitia Selemami Mwalimu
FULL TIME
SIMBA 1 – 0 YANGA
Penalt
DK -120 -Seleman Mwalimu