MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo 29/04/2026

MATOKEO ya Simba Sc vs Yanga Sc Leo
Leo 29/04/2025 mashabiki wa soka nchini Tanzania wanaenda kushuhudia mchuano mkali wa Derby ya Kariakoo kwenye hatua ya fainali ya kombe la Muungano.
Mchezo amabao unapigwa saa 02:15 usiku kwenye viunga vya New Amaan Complex huko visiwani Zanzibar.
Kinachosubiliwa zaidi na mashabiki ni Matokeo ya Simba vs Yanga mara baada ya mchezo kukamirika. Bila hiyana Zetuforum blog yako pendwa ya kimichezo inakuletea hapa matokeo ya mchezo huu wa Derby ya Kariakoo kati ya Yanga Sc vs Simba Sc
Full Time
Simba Sc 1 – 0 Yanga Sc
Penalt
D’ 120 – Selemani Mwalimu
