KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 29/04/2026

KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo
Leo klabu ya Simba Sc inaenda kuivaa Yanga Sc kwenye fainali za michuano ya Muungano Cup majira ya saa 02:15 usiku kwenye uwanja wa New Amaan Complex huko visiwani Zanzibar.
Mchezo huu unasubiliwa kwa hamu na mashabikiwa Soka la Tanzania kwani mehi hii ni mechi ya watani wa jadi (Derby ya Kariakoo) mechi inayochezwa ndani na nje ya uzwanja.
Zetuforum tunakuwekea hapa kikosi chote cha Simba Sc kitakachoenda kukikabili kikosi cha Yanga Sc leo 29/04/2026 kwenye fainali ya Muungano Cup.
KIKOSI cha Simba Sc vs Yanga Sc Leo 29/04/2026
Kikosi harisi tutakiweka lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo kikisha tangazwa
Wachezaji wanaotarajia kuunda kikosi cha Simba Sc dhidi ya Yanga Sc Leo

