WhatsApp Group Join Now

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2025/2026

Filed in Michezo by on May 3, 2026 0 Comments

Hadi kufikia sasa kipa wa klabu ya wana jangwani Yanga Sc Djigui Diarra ndio kinala wa clean Sheets kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania bara (NBC Premier League) kwa msimu wa 2025/2026

Djigui Diarra hadi sasa ameweza kujikusanyia clean Sheets 10 huku akifuatiwa na Aish Manula mliziwa Azam Fc na Jean Noel wakiwa na Clean Shaat 9 kwa kila mmoja na kwenye nafasi ya 3 inashikiliwa na Mhamadou Kassali kutokea klabu bya Simba Sc akiwa amejikusanyia clean sheet 8.

Hapa chini ni orodha ya vinara wa Clean Sheet kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa 2025/2025

Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Channel Join Now!