Matokeo Azam FC VS Yanga SC Leo 21/06/2026 CRDB Federation Cup

Matokeo Azam FC VS Yanga SC Leo 21/06/2026
Uwanja wa CCM Kirumba na Tanzania kwa ujumla wake, unashuhudia mvuto mkubwa wa soka la Tanzania leo Jumapili, June 21, 2026, ambapo macho na masikio ya mashabiki yanaelekezwa moja kwa moja kwenye Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 ikiwakutanisha mahasimu wakubwa wa soka la Tanzania Azam FC na Young Africans SC (Yanga).
Ni mechi yenye uzito mkubwa kihistoria, kiufundi na kimbinu, huku matokeo ya Azam vs Yanga leo 21/06/2026 Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 yakisubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa soka ndani na nje ya nchi ya Tanzania.
Fuatilia Hapa Matokeo ya Azam VS Yanga Leo 26/06/2026
Azam Fv |
3 – 2 |
Yanga Sc |
|
|
#Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026
Azam FC vs Yanga SC
21 June 2026
CCM Kirumba
Saa 9:30 alasiri
Soma Pia:
