MATOKEO Yanga Sc vs Muembe Makumbi City Mapinduzi Cup 2026
MATOKEO Yanga vs Muembe Makumbi City, Hapa utaweza kutizama matokeo ya mchezo wa leo kati ya Yanga Sc vs Muembe Makumbi mchezo wa kwanza wa mashindano ya Mapinduzi Cup.

YANGA SC 4 – 0 MUEMBE MAKUMBI CITY
16′ Dube Prince
34′
36′ Shekhan Ibrahim
58′ Dube Price
