MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 02/06/2026

MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 02/06/2026
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi
kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 19/06/2026 hadi 22/06/2026 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi
waombaji kazi watakaofaulu usaili huo
Tags: MAJINA ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi 02/06/2026, Matokeo ya Usaili Utumishi
